Msaada wa mbegu ya kitunguu neptune F1

cannulla

Senior Member
Apr 14, 2012
110
175
naomba mdau anaejua naweza pata wapi aina hiyo ya mbegu anijulishe tafadhali,, mimi niko mbeya.
Aksante
 
Hizi mbegu zinauzwa Balton. Kama huko Mbeya kuna branch yao basi nenda utapata. Usipopata njoo Balton Dar es salaam.
 
naomba mdau anaejua naweza pata wapi aina hiyo ya mbegu anijulishe tafadhali,, mimi niko mbeya.
Aksante
Hello. Mimi mwenyewe ninatarajia kulima kitunguu maji, ila hapo kwenye mbegu bado pananipa utata, labda kama wewe ni au yeyote mwenye uzoefu kidogo unaweza kunisaidia.
Jamaa anayesimamia shamba alisema ana uzoefu na mbegu, akashauri nitumie mbegu zinazozalishwa na wakulima. Hizi kwa Arusha zinauzwa 55000 kwa kilo, na kwa heka zinahitajika kilo 10. Alisema za dukani mara nyingi hutoa mabomba tu, hazitagi.

Kwenye maduka ya kawaida wakanishauri nitumie Red Bombay, Kwani ina uhakika zaidi wa kuota na bei yake iko chini, karibia nusu kwa kipimo cha heka, ukilinganisha na mbegu zinazozalishwa na wakulima.
Ni kanda Balton, wao wakanishauri nitumie hybrid Neptune F1, kwamba ni ina advantage zaidi kuliko hata red Bombay, though bei ya mbegu kutoshea heka inafanana na ile inayozalishwa na wakulima.
Masaaki yangu:
1. Faida za Neptune F1 dhidi ya Red Bombay ni zipi?
2. Kama nitaamua kutumia Neptune F1, vipi ukubalikaji wake sokoni?
3. Kuna aina nyingine zaidi ya hizo 3 nilizozitaja hapo juu ambayo ni nzuri na more advantageous.

Natanguliza shukrani
 
Neptune f1..itakupatia mazao mengi kuliko local breed...kias cha kutisha ekari ni 340000-380000. Yaan 1kg.
 
Kuhusu sokon hmni chekundu cha mviringo wastan. Sio kikubwa sanaa. Kinatunzika mda mrefuu.

Asante kwa information. Ngoja nilifanyie mchakato
 
Back
Top Bottom