Matapeli njombe

respicius verius

New Member
Feb 25, 2016
1
2
Kuna matapeli wanajifanya wana kampuny ya kutengeneza incubator na kuuza na kampuni yenyewe ni pretty development for reduction nimatapeli msijiloge kuwatumia ela na wala msisumbuke kuwatafuta maana ni mtandao mlefu yaani wako watu wengi na namba wanazotangaza jamiifororum ni 0754397178 na0652556833 naomba usithubutu kuwatumia ela ukiona jina la kampuny iyo ya matapeli wala usiangaike bora ununue machine kokote unakojua wewe au ambapo kuna mtu unaemjua
 
Hapana ndugu PDPR sio matapeli Bali kuna tatizo la usafirishaji wa mzigo wa ndugu Respicius lilijitokeza ambapo kuna agent wa bus za Mbeya express aliupokea na alilipwa mpaka sasa tunamtafuta hapokei simu zetu na mzigo hatujui Aliko uweka.
 
Basi mlipeni nyingine ili tujihakikishie kuwa nyie si matapeli
 
sasa kwani huo mzigo si umepotelea bado mikononi mwenu. kwanini msimtumie mwingine ili tujiridhishe. inaonekana kuna ubaba ishaji, hawezi kukurupuka kutuambia
 
Hapana ndugu PDPR sio matapeli Bali kuna tatizo la usafirishaji wa mzigo wa ndugu Respicius lilijitokeza ambapo kuna agent wa bus za Mbeya express aliupokea na alilipwa mpaka sasa tunamtafuta hapokei simu zetu na mzigo hatujui Aliko uweka.
kwanini msimtumie mwingine ili tujiridhishe. inaonekana kuna ubaba ishaji
Hawa jamaa ni wababaishaji, iweje usitafute njia nzuri ya kusafirisha mizigo? Kwanini umtafute konda, kwani hukukabidhi mzigo ofisini na kupewa risiti? Mlipeni mtu pesa yake au mtumieni mzigo wake. Nyinyi mpigane na hao wa basi sio kumchelewesha mtu na pesa zake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom