Hebie
JF-Expert Member
- Jul 29, 2012
- 1,414
- 865
Ni matumaini yangu kuwa wote muwazima hapa jukwaani, kinyume na hapo ni mipango ya Mungu.
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina long term plan nyingi kimaisha, lakini hili la kupanda miti nimelipa kipaumbele zaidi.
Plan yangu ni kununua hekari 2 za shamba kwa ajili ya kupanda miti mwaka huu 2016 hasa maeneo tajwa hapo juu. Tayari nina miche 1200 ya miti ya mbao (huku ni maarufu kama miti ulaya)hivyo ninahitaji MSAADA kwa mtu aliyeko Iringa ama njombe ili anisaidie namna ya kupata na bei zake (za mashamba). Aliye tayari aniPM tutajadili na namna ya kufidia muda wake aloutumia, mimi nipo Sumbawanga. Please be serious kejeli na utani hapa si mahala pake. Contact tutapeana kwa PM. Alamsiki