Kwa wafugaji wazoefu wa kuku

SIPIYU30

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
1,698
2,274
Naomba kujua bei za vifaranga wa kuku wa kienyeji chotara kwa umri, kwa mfano;
WIKI MOJA, MBILI, MWEZI MMOJA, MIEZI MIWILI etc.
 
Mimi nahitaji vifara na Kuku wakubwa wa kienyeji wa kufuga nipo kigoma namba yangu hii hapa 0746269580 ... Nisaidieni jamani niipate hiyo mifugo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom