Kwa Dar hii inafaa sana maana ardhi kwa shughuli ya kilimo ni mgogoro. Lakini kama ukiamua kufanya Dar, basi inabidi hata hicho kilimo kifanyike kwenye controlled environment ili kuhakikisha unapata mavuno yanayofaa kuendana na kilimo husika.
Tanzania ardhi yake inayotumika ni kasehemu kadogo sana. Bongo hatuna haja ya kulima kwa shida hivyo wakati tuna ardhi ya kutosha kila raia kulima.Itakuwa ulaya wenye matatizo ya ardhi..!
Bongo hii ardhi bikra ya kutupa why tuangaike..
Mjini jee??Itakuwa ulaya wenye matatizo ya ardhi..!
Bongo hii ardhi bikra ya kutupa why tuangaike..
Kwao ardhi ni bidhaa adimu kwa hyo ku practice hivi nibsawa kabisa..una weza iilinganisha na technology ya namna ingine ambayo mizizi haipo kwenye ungo inaninginia tuu ndani ya glass container alafu nutrients zote na maji vinakuwa sprayed ni expensive ku practice ila huko mbeleni wanaweza jenga majengo marwfu mjini na kuwa ndio mashambaMkuu hata upinge Wakenya wapo juu sana, ukitaka ujue hilo jiulize wewe unaubunifu gani zaidi ya kupiga porojo tu..
Hii iko poa sana mkuu,halafu hai-save water peke yake bali hata eneo.Hii nzuri sana...ngoja niifanye namimi, pia nikiangalia naona inasaidia ku save water!