ehee kumbe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2013
- 267
- 155
Ndugu wana jamii wenzangu najitokeza kwa mara ya kwanza kutafuta wateja wa asali na mafuta ya ubuyu.mimi naishi Dodoma nimeanzisha kampuni yangu nashughulika na ufugaji wa nyuki na zalisha asali kwa wingi kwa sasa zipo tani mbili bei ni tsh 10000 kwa kilo.hata wateja wa lejeleja napokea oda zao hata wakiwa mikoani asali nawatumia
pia ninazalisha mafuta ya ubuyu kwa wingi na unga wa ubuyu pia upo.bei ya mafuta ya ubuyu ni lita moja ni tsh 25000/= na kilo moja ya unga wa ubuyu ni tsh 1500/=mafuta ya ubuyu yana matumizi mengi kwa binadamu kama vile-
1-yanaongeza cd 4 kwa kasi kuliko ARV
2-yanatibu ugonjwa wa kusahau
3-yanatoa mafuta yaliyoziba kwenye misipa ya damu na moyo
4-yanasaidia wenye matatizo ya kuziba mirija ya mkojo
5-yanatibu vidonda vya tumbo
6-yanaongeza nguvu za kiume na kike
7-yanatibu mba,ukurutu,upele na fangasi
8-yanapunguza unene na uondoa manyama uzembe