Fursa: Wafanyabiashara wa mazao ya kilimo na wakulima

EMINEMU

Member
Dec 2, 2013
76
95
habari za mihangaiko wanajamvi napenda kuwawekea mezani fursa hii ya biashara.

mimi ninahusika moja kwa moja na utengenezaji na usambazaji wa kamba za katani/kudu. Kama inavyofahamika kamba hizi hutumika kufungia na kushonea viroba/magunia wakati wa kupakia mavuno mbalimbali kama viazi, mchele, vitunguu, nyanya, mkaa nk.

Nija kamba za aina tofauti tofauti kulingana na matumizi, sasa ni wakati wa mavuno wa mazao mbalimbali hivyo kwa ni kipindi cha peak kwenye biashara hii, kama nilivyosema najihusisha moja kwa moja katika utengenezaji na usambazaji toka kiwandani utapata bidhaa hii kwa bei nzuri na utafaidi faida mbalimbali kama commision nk.

Kwa atakaehitaji mawasiliano yangu anitumie ujumbe Private Message nami nitamtumia mawasiliano yangu.napatikana dar pia tuna matawi mikoani.

AHSANTENI NA KARIBU SANA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom