Msaada: Ufugaji nyuki

Mr Antidote

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
952
1,293
Wakuu habari zenu...
Kwa heshima na taadhima naomba kupata darasa kuhusu ufugaji wa nyuki kwa ajili ya asali.

Kwa wale wa Tabora, Arusha au popote pale kwenye kilimo hiki naomba msaada ikiwezekana nifike huko niweze kujionea.

Natanguliza shukrani!!
 
Back
Top Bottom