Choroko

Choroko

bface

Senior Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
128
Reaction score
19
Hello team, nahitaji kufanya biashara ya ununuzi wa choroko so ningependa kujua hasa msimu wa mavuno unaanza lini na ni mikoa ipi hasa choroko upatikana kwa wingi ili nianze kujipanga mapema, mwenye idea anisaidie
 
Mm nipo Moro maeneo ya dumila Nina debe 5 za Choroko karibu
 
Back
Top Bottom