Wakulima wakulima!, mvua zimeanza kunyesha

Moneyowner

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,423
1,252
Ndugu zangu napenda kuwataarifu kuwa mvua zimeanza ,karibia kila kona ya tanzania,nyanda za kusini,kanda ya ziwa, pwani,kanda ya kati, kazikazini na kwingineko.
kazi kwenu. mi tayari niko kwa shamba
 
Acha matani yako Dodoma hazijagusi tangu zilipokatika mwaka jana april na kwa sasa niko kanda ya ziwa ni kavu kabisa na mazao mengi ya awali yamekauka kabisa. Wakulima limeni kwa tahadhari mwaka huu kwa kulima mzao yanayovumilia ukame.
 
Back
Top Bottom