Ukame umezidi, mazao tuliyopanda yanaanza kukauka

mzalendo Wa mANyANyA

Senior Member
Nov 3, 2016
111
44
jaman wana jamvi aiseee huku kwetu ukame umezid sana hadi mazao tuliyoyalima yameanza kukauka kutokana na ukosefu wa mvua


mungu awe nasii
 
Back
Top Bottom