Ushauri kilimo cha karanga

kinywanyuku

JF-Expert Member
Jul 13, 2015
3,557
2,626
habari zenu wana JF poleni kwa majukumu nilikuwa na omba msaada kwa anayefahamu mbegu nzuri kwa ajili ya kilimo cha karanga na inayokaa sokoni mda mrefu bila kuharibika pamoja na hatua za ulimaji wake nashukuruni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom