mzee jongo
Member
- Sep 29, 2016
- 20
- 1
wakuu nna automatic incubator lakini cjapata kifaranga hata kimoja cha bata mara mbili mfululizo lakini mayai ya kuku yanatoka vizuri tu naombeni msaada wakuu
nimejaribu kupitia majarida mbalimbali nmekuta conditions za kuku na bata zinaendana isipokua bata ni siku 28 ambazo ni joto nyuzi 37.8 na unyevu ni RH 60% lakini bata kwangu ni holaCna hakika,ila inawezekana katka joto na siku za kutotoleshwa vinatofautiana kati ya mayai ya kuku na mayai ya bata.
mkuu nimeyaacha kwa siku zaidi ya 35 kwani nikiamin kua humidity huenda ni kubwa sana maana nakala nyingine zinasema ni 50%RH nami natumia 60%RHMayai ya bata yanachukua mda mrefu kutotolewa tofauti na kuku labda unayatoa kabla ya mda
ni automatic incubator XM 18D direct from china Tsh 2 millions ya mayai 500 ya kuku inatoa kwa 96% ila ya bata mara mbili nimekosaMkuu naomba kuuliza,ni incubator ipi (brand name) kama hizi local au za nje ambazo zinafanya vizuri? Pia na bei kama unafahamu itakua poa. Asante