Fursa ya Ujasiriamali kwa wenye mtaji mdogo

Blues1

JF-Expert Member
Feb 14, 2015
663
1,410
Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni Mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea 10 kwa shilingi elfu 13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka 20 kiasi kwamba kwa viatu 10 ulivyochukua unapata faida ya chini sana shilingi elfu 40.

Viatu vinatoka sana hasa maeneo ya vyuo na collage mbalimbali pamoja hata na majumbani wamama na wadada wengi huwa wanavinunua sana viatu vipo katika hali nzuri na ni vya kisasa.

Watanzania tunaweza kuuepuka umasikini kwa kutumia fursa kama hizi..
 
arusha maeneo ya tengeru wanaviuza bei poa sana rejareja 10000

Kuna aina na aina hivi vya kwangu co vile vya kienyeji vimetengenezwa kitaalam
Angalia mfano huo
 

Attachments

  • 1426742944035.jpg
    1426742944035.jpg
    54.9 KB · Views: 1,134
  • 1426743017299.jpg
    1426743017299.jpg
    65.9 KB · Views: 693
arusha maeneo ya tengeru wanaviuza bei poa sana rejareja 10000

Hata katikati ya mji bei ni elfu 10 pia.


Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea10 kwa shilingi elfu13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka 20 kiasi kwamba kwa viatu10 ulivyochukua unapata faida ya chini sana shilingi elfu40
viatu vinatoka sana hasa maeneo ya vyuo na collage mbalimbali pamoja hata na majumbani wamama na wadada wengi huwa wanavinunua sana
viatu vipo katika hali nzuri na ni vya kisasa
Kwa picha na oda ya viatu hivyo whatsapp namba0653783552
watanzania tunaweza kuuepuka umasikini kwa kutumia fursa kama hizi



Sijakuelewa vizuri.
Umesema sh.13,000/= @10 pair.

Bei ya rejareja pea moja ni sh. 17000@pair.
Kwa ufafanuzi wa bei ya Jumla ni sh.elfu moja na mia tatu.1300/=@ pair.

Je,niko sawa au sijakuelewa.
 
Sijakuelewa vizuri.
Umesema sh.13,000/= @10 pair.

Bei ya rejareja pea moja ni sh. 17000@pair.
Kwa ufafanuzi wa bei ya Jumla ni sh.elfu moja na mia tatu.1300/=@ pair.

Je,niko sawa au sijakuelewa.

Elfu13 per each but kuanzia pair10
 
Kwa wale walio na mtaji mdogo na wanajiuliza watauzungushaje mimi ni mjasiriamali ambae nauza viatu vya kimasai jumla kuanzia pea10 kwa shilingi elfu13 na rejareja vinauzwa kuanzia elfu 17 mpaka 20 kiasi kwamba kwa viatu10 ulivyochukua unapata faida ya chini sana shilingi elfu40.

viatu vinatoka sana hasa maeneo ya vyuo na collage mbalimbali pamoja hata na majumbani wamama na wadada wengi huwa wanavinunua sana
viatu vipo katika hali nzuri na ni vya kisasa.

Kwa picha na oda ya viatu hivyo whatsapp namba0653783552.

Watanzania tunaweza kuuepuka umasikini kwa kutumia fursa kama hizi.

attachment.php
 

Attachments

  • 1427898893039.jpg
    1427898893039.jpg
    121.1 KB · Views: 310
  • 1427898974896.jpg
    1427898974896.jpg
    180.6 KB · Views: 669
Elfu13 jumla kuanzia pea10
 

Attachments

  • 1428070570339.jpg
    1428070570339.jpg
    64.8 KB · Views: 162
Back
Top Bottom