Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwa kweli nimehuzunishwa na kuona tukio Kama hili.maswali mengi nimejiuliza 1.mtu ana ngombe 250 .1 mwenye ngombe huyu alijaribu kuuza hawa ngombe na hakupata soko? 2.mfugaji huyu hakuona Kama...
0 Reactions
0 Replies
758 Views
Habari zenu wana JF Nimejaribu kufuatulia kwa ukaribu ufugaji wa bata mzinga na nikafanikiwa kupata maelekezo namna ya kuwafuga na kuandaa mazingira ya kuwafuguia yaani ujenzi bora wa mabanda,kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari njema kwa Wakulima na Wafugaji, tunatoa ushauri mbalimbali kupitia vitabu kuhusu Kilimo cha Biashara cha mazao zaidi ya 40 na Ufugaji wa kisasa wa Kuku, Nguruwe, Mbuzi, Ng`ombe n.k...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kuna watu waliojilipua kwenye zao hili naomba kupata mrejesho maana nasikia watu wanafungasha virago upande wa nachingwea kuna wadudu wanaitwa vibaruti hawasikii dawa wanatafuna majani ile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf tujuzane maeneo ya kilimo na ufugaji ili watu wasibughudhiane kwenye shughuli zao je, kila mmoja ana eneo maalum kwa ajili ya kazi zake? Karibuni kwa ajili ya kuchangia hoja na kutangaza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana Jf, Wataalamu wa aridhi na udongo naomba mnisaidie ni jinsi gani naweza kutambua aridhi hii ina madini au haina Au pia ni chuo gani ambacho wanafundisha mitaala ya uchunguzi wa madini...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Napenda kishauri serikali hasa Wizara ya Kilimo kuwa fedha inayotumia kwa ruzuku ya pembejeo ingetumika kufufua mashamba ya uzalishaji mbegu hapa nchini kama Tanseed zamani na kiwanda cha mbolea...
5 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna anayefahamu wapi nitapata mbegu bora za karanga zinazofaa kwa maeneo ya Pwani? Tafadhali naomba msaada huo! shukran!
1 Reactions
3 Replies
3K Views
IFAHAMU VSLa(VillageSaving and Loan Association)/VICOBA - Watu wengi wamekuwawakisikia hili neon na kuna wanao fahamu, VSLa ni Vikundi vya Hisa ambavyo kwajina jingine wanaita VICOBA, hivi ni...
11 Reactions
33 Replies
27K Views
Kwanza nianze kwa kuwapongeza watumishi wote Wa tume ya maendeleo ya Ushirika nchini,iliyopo chini ya wizara ya kilimo Na uvuvi,kwa jukum kubwa mnalo lifanya la kuhakikisha Ushirika una fufuka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanabody kijana wenu naleta mrejesho leo nimepata rasmi shamba maeneo fulani na sasa naanza kilimo cha matikiti pamoja na Vitunguu ndani ya shamba moja ila nitatenga naomba ushauri katika hili pia...
3 Reactions
32 Replies
9K Views
kufikia sasa kuna idadi kubwa sana ya watu wamejikita katika tasnia ya ufugaji wa samaki. kama mtu,mdau ama mtaalam unakaribishwa kwenye uzi huu uweze kuchangia,kutoa ushauri na kubadilishana...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wana-JF, Mimi ni mjasiriamali ninayetaka kujikita katika kilimo kikubwa cha kibiashara. Ninafungua mashamba mapya maeneo ya Ruvu, mkoa wa Pwani. Kwa kuanzia ninapanga kulima mpunga na...
0 Reactions
31 Replies
18K Views
Habari zenu jamani ,naomba mwenye kuwa nayo CBA na Master plan ya zao la tikiti maji anisaidiee .nipate muongozo ktk hili
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye kuhitaji shamba maeneo ya dakawa ninazo heka15 nauza kwa mwenye nia ya kunua tuwasiliane mojakwamoja 0719508800 na heka moja ni 1m haipungui hakuna dalali hapa unadili na mimi mojakwa moja
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Huu ni ugonjwa gani,unasababishwa na nini,na unatibiwa kwa dawa gani?
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Wukuu kwamtaalamu wa kilimo cha nyanya anisaidie njia zakufanya ili nyanya zangu zisipukutishe maua cos nimesha pata hasara malakibao kwaajili hiyo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina rafiki yangu amestaafu utumishi wa Umma. Anataka afanye investment katika kilimo au ufugaji. Ameniomba ushauri kumchagulia awekeze wapi? Kwa vile jukwaa hili ni la ushauri,naye siyo...
2 Reactions
53 Replies
50K Views
Wataalamu kwa kilimo humu jf naomba kujuzwa nitayarishe mbegu ya mahindi (pannar au pioneer) kiasi kwa ekari moja? na niipandeje (spacing na matunzo)?
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Heshima kwenu Wajasiriakilimo. Swala la Ujasirimali ni gumu sana, Ujsirimali sio swala la kitoto, unahitajika kujitoa mhanga ki sawa sawa.Wengi wamekuwa wanafanya hivyo na wengine imekuwa ni kazi...
9 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…