Wakuu huu ni ugonjwa gani kwenye maembe?

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
2,831
1,303
1fab76ae9ba26186cdda5977c887d21e.jpg
na ni wa gani inatibu msaada plse
 
Mkuu huo ugonjwa unaitwa Anthraknose, unashambulia pia mikorosho, mipera na jamii kama hiyo, wadudu hao wanapovamia husababisha jani kukosa nguvu na kupotea kabisa! Ikitokea hivyo Pruni/kata matawi yote yaliyoshambuliwa na uyaondoe shambani! Kuhusu dawa sina hakika kiongozi!
 
Back
Top Bottom