Bigbon JF-Expert Member May 21, 2016 600 729 Apr 27, 2017 #1 Kama ilivyo ktk kichwa cha habari. Naomba kujuzwa bei ya ufuta kwa Mikoa ya Lindi ,Mtwara na Pwani.
tejateja JF-Expert Member Feb 26, 2015 1,620 970 Apr 27, 2017 #2 Umelima ekari ngapi? Au wewe ni mnunuzi?
Bigbon JF-Expert Member May 21, 2016 600 729 Apr 27, 2017 Thread starter #3 tejateja said: Umelima ekari ngapi? Au wewe ni mnunuzi? Click to expand... Mkulima mkuu.Bali ekari 5 mkoa wa pwani
tejateja said: Umelima ekari ngapi? Au wewe ni mnunuzi? Click to expand... Mkulima mkuu.Bali ekari 5 mkoa wa pwani
Inamonga JF-Expert Member Jun 25, 2016 779 474 May 9, 2017 #4 Bigbon said: Mkulima mkuu.Bali ekari 5 mkoa wa pwani Click to expand... Heka moja unatoa kilo ngapi?
Bigbon JF-Expert Member May 21, 2016 600 729 May 10, 2017 Thread starter #5 Inamonga said: Heka moja unatoa kilo ngapi? Click to expand... 300 -400Kg per acre