Thnx, na mie nasubiri majibu hapa maana yaweza kunisaidia piaNaam Habari zenu wadau wa JF.
Napenda kufaham kilimo Cha Mahindi katika mkoa wa Mbeya kikoje kuanzia Gharama za ukodishaji shamba kwa ekali moja na kuendelea. Pia ni maeneo yapi ni mazuri zaidi kwa kilimo hicho, na mengine yanayo itajika katika kilimo.
Karibu katika Hoja wakuu.!