Mkuu acre ni 70x70 but sio mita ni yard, hiki ni kipimo cha waingereza.Hekta 1 ni 100m & 100m(ha) sasa iyo cyo hekta.
Na acre n nn 50& 80m(acre) sasa iyo cjui niitaje mkuu
Wadau heshima KWENU,
Naomba mnifungue juu ya elimu ya vitunguu maji na hitaji kulima heka moja yenye ukubwa wa 70m@70m
Je! Niandae mbegu kiasi gani? Na elimu nyingine tafadhari nisaidieni.
Natanguliza shukurani zangu kwenu nyote!
ASANTE
mnaulizwa mambo ya mbegu mnabishana hekta na ekari.
angakuwa mgonjwa mnampa masaada ngelishakufa.
Usichanganye watu mkuu. Vipimo ulivyotoa vinatumiwaga na maafisa ardhi kwenye upimaji kwamba kwenye sqm 4900 basi sqm854 itumike kwenye huduma za jamii na kinachobaki, sqm 4046 ndio upimiwe utakavyo. Hii haiondoi ukweli kwamba ekari moja ni sqm 4900Acre (ekari) = 4046 sqm = 63.6.. X 63.6..
Acre na hectare,ni vipimo standard duniani(vipimo vya ukubwa wa eneo), hivyo vya mwanarumango vinaonyesha hukupita kabisa sehemu shahiki ili kubisha haya, mambo yetu yalee BAM 0Usichanganye watu mkuu. Vipimo ulivyotoa vinatumiwaga na maafisa ardhi kwenye upimaji kwamba kwenye sqm 4900 basi sqm854 itumike kwenye huduma za jamii na kinachobaki, sqm 4046 ndio upimiwe utakavyo. Hii haiondoi ukweli kwamba ekari moja ni sqm 4900
Ekari na hekta ni vya muhimu ili kujua idadi ya mbegu mura, ukimjibu kwa kumaanisha ekari na yeye anamaanisha hekta na akilini akiwa na imani ni kitu kimoja ni kosa, hekta moja ni sawa na ekari 2.47,kama ekari ikila lita 2 za mbegu, hekta itakula 2 X 2.47 =4.94 ~ 5 ltrs, In short kufail kunaanziaga hapamnaulizwa mambo ya mbegu mnabishana hekta na ekari.
angakuwa mgonjwa mnampa masaada ngelishakufa.