Patner wa kuwekeza nae aje hapa

Patner wa kuwekeza nae aje hapa

Medrany

Member
Joined
Mar 30, 2017
Posts
8
Reaction score
2
Wakuu nahitaji patner au tulime matunda aina ya parachachichi au kupanda miti ya mbao pines
.
Eneo la kulima ni mkoani njombe
Binafsi ninamtaji kiasi na Ardhi kiasi cha eka 15 maalumu kwa kilimo hiki.
Aliyetayari tuwasiliane.
 
Miaka 3 kwa haya ya budding(yaliyopandikizaw vikonyo yanakuw tayari, na haya ya kawaida ni miaka 6_8 ..yategemea na hali ya hewa ya eneo husik na aina ya udongo
 
...kilimo cha mazao yanayowahi kuharibika sijui kwa nini huwa hakinibariki!
 
Back
Top Bottom