maselengo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 325
- 167
Ndugu wafugaji na wajasiriamali naomba kama kuna mjasiriamali anaeweza kuniambia nitapata wapi mbuzi WA nyama aina ya Boer ..Kuna wakati nilipita mawasiliano na MTU WA Dodoma akasema anazo lakini kwa bahati mbaya nilipoteza mawasiliano yake.naziihitaji sana mwezi huu WA NNE kwa ajili ya ufugaji nipo mwanza buhongwa ..natanguliza shukrani kwa yeyote atakaenifanya nifanikishe hili.