Jamani hawa jamaa siwaelewi kabisa nilikuwa nimedhamilia kuingia ktk ufugaji lkn jamaa hawa wanakatisha tamaa nimelipia ng'ombe nikaambiwa nisubili wapandishwe sasa sijawapata kila nikiulizia wananiambia bado hawajapandwa sababu kilikuwa na kiangazi kikali,naombeni ushauri