Biashara ya kusafirisha mahindi kwenda kenya

DA HUSTLA

JF-Expert Member
Mar 5, 2012
3,663
3,881
Jaman wadau nisaidien,hivi biashara ya kusafirisha mahindi kwenda kenya inalipa kwa mchanganuo upi?iko vizuri?maana naona wa2 wanaichangamkia sana.
 
Lakini hebu tuelimishane..............unatoka na mahindi hapa hadi Kenya ina maana unawafaidisha wao mara 2; pumba na unga............nimekuwa nikiwaza moyoni kwanini mtu asisage unga ndio upelekwe huko? ma unga hawanunui ? ama mahindi ni kwa ajili ya kitu kingine na si chakula kwa binadamu?

Naendelea kuwaza ;.......lakini hainingii akilini kubebelea mahindi kutoka hapa mpka Somalia; kenya...........south sudan!
 
Jaman me nimeulizia/nimelenga kuhusu faida iko vip?yaan nahitaji kujua mchanganuo mzima kuanzia gharama za usafiri,mzigo,ushuru na bei za soko la huko
 
Lakini hebu tuelimishane..............unatoka na mahindi hapa hadi Kenya ina maana unawafaidisha wao mara 2; pumba na unga............nimekuwa nikiwaza moyoni kwanini mtu asisage unga ndio upelekwe huko? ma unga hawanunui ? ama mahindi ni kwa ajili ya kitu kingine na si chakula kwa binadamu?

Naendelea kuwaza ;.......lakini hainingii akilini kubebelea mahindi kutoka hapa mpka Somalia; kenya...........south sudan!

Mkuu ni kweli kabisa, C C hapo wanao faidi ni wakenya na si watanzania, mtu anauza gunia moja 100000 anaona amewakamata sana kumbe yeye ndo ka kamatwa,

NA KUNA VITU VINGI SANA TUNAUZA KUWAFAIDISHA WENGINE

1. NG'OMBE- TUMEKUWA TUKISAFIRISHA NG'OMBE KWENDA KOMORO, KULE NDO WAO WANAFAIDI SANA NA SI WATANZANIA
-Ngozi
- kwato
- mifupa
- Damu
-pembe
-Nyama

2. Kwenye mahindi ni hivyo hivyo, na mazao mengine,

BIASHARA YA KUONGEZA THAMANI HATUTAKI TUNAONA NI NGUMU NA INAHITAJI AKILI NYINGI BORA TUFANYE BIASHARA ISIYO HITAJI KUTUMIA AKILI NYINGI,

Wakenya wanasomba mahindi kutoka Tanzania wanayakoboa, wanayasaga and then wanawauzia hadi Mashirika ya Umooja wa Mataifa kama UNHCR, NA WFP, NA UNGA MWINGINE KUUZA SOUTH SUDANI NA SOMALIA, NA MASHUDU HUWAUZIA WAFUGA NG'OMBE HUKO KENYA
 
...nakubaliana na mdau Chasha hapo juu,kiukweli Watz ha2naga mpango wa kuangalia end point ya v2vingi2navovifanyia kazi,always2ko afta easy and fast money jst lito enaf2make ze ''..DAY GO ON BKOZ2MORO WE GONA HAV LIKE2DAY'S BREAD...'',ukiongelea suala la Wakenya linatia hata hasira ukiona bidhaa zilizotoka Tz ila zina machata ya Kenya..,siongelei Mount Kilimanjaro ambayo2lishaibinafsisha na kuiharalishia Kenya miaka miiingi ilopita,NAZUNGUMZIA MAZAO YA KILIMO,kama vile Unga,Kahawa/Coffee,etc...,

..''TATIZO NI JINSI2NAVYOLELEWA BILA ELIMU YA JUU YA PESA KTK FAMILIA/SHULENI/VYUONI AU NI UJINGA WE2WA KUTOTAKA KUJISUMBUA VICHWA KUFIKIRIA MBALI!!!???....''
 
Back
Top Bottom