NIUZIE AU NIKODISHIE CHAINSAW

jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,321
2,000
Wanajamvi kwema?

Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.

Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu kabla ya kujikita kwenye kilimo rasmi.

Nahitaji chainsaw kwa ajili ya kukatia ile miti mikubwa mikubwa nahisi hii itarahisisha sana na kupunguza gharama pia.

Sasa kwa mwenye na hii kitu awe anaitumia au haitumii tunaweza kuongea napendelea zaidi kukodisha ila pia ikipatikana used ya kununua sio mbaya

Kingine najua kama zipo madukani ila kwa ugumu huu wa maisha usinishauri hilo
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
35,287
2,000
Hatua nzuri sana mkuu, ulizia wenyeji waliopo karibu watakusaidia zaidi na kwa ufasaha
 
MJIMPYA

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
497
500

Una 1mil nikuuzie chainsaw. Imetumika kidogo.
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,321
2,000
Hatua nzuri sana mkuu, ulizia wenyeji waliopo karibu watakusaidia zaidi na kwa ufasaha
mkuu kwa maeneo ya kule mkoani lilipo shamba ni ngumu sana kupata kwani bado pako local wanasafisha kwa mikono

sas kwa hesabu za haraka haraka hekta 50 kwa mikono ni shughuli pevu na gharama inakuwa juu pia
 
Genchi

Member
Aug 19, 2014
75
125
Wanajamvi kwema?

Katika harakati zangu za kupambana na maisha nimejichanga changa sana mpaka nimepata vijisenti vya kununua shamba mkoani.

Shamba nililonunua linahitaji usafi wa hali ya juu kabla ya kujikita kwenye kilimo rasmi.

Nahitaji chainsaw kwa ajili ya kukatia ile miti mikubwa mikubwa nahisi hii itarahisisha sana na kupunguza gharama pia.

Sasa kwa mwenye na hii kitu awe anaitumia au haitumii tunaweza kuongea napendelea zaidi kukodisha ila pia ikipatikana used ya kununua sio mbaya

Kingine najua kama zipo madukani ila kwa ugumu huu wa maisha usinishauri hilo
Nichek tukubaliane nikupatie yangu ukafanye kazi
0683 77 55 66
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,322
2,000
Mungu wangu, na hali hii bado kuna Watu mnafikiria kukata tena miti.

Sio kwamba hii iliyopo itunusuru na tujitahidi kupanda mingine?
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,321
2,000
Mungu wangu, na hali hii bado kuna Watu mnafikiria kukata tena miti.

Sio kwamba hii iliyopo itunusuru na tujitahidi kupanda mingine?
Endelea hivyo hivyo mkuu utatunukiwa tuzo ya nobel ya mazingira,

Next time usimhusishe Mungu kwenye mawazo kama hayo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Thread starter Similar threads Forum Replies Date
MSEZA MKULU Msaada, kumiliki Chainsaw kwa ajili ya kusafishia Shamba Kilimo, Ufugaji na Uvuvi 16
Top Bottom