New model automatic incubator

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
115
225
Za kisasa zenye kugeuza mayai, temperature control, hazili umeme kabisa 60 watt,

42 Eggs kwa 400,000
96 eggs kwa 475,000

Ni pm kwa info


 

manizzle

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
3,416
2,000
Hizo nilizikuta sehemu nikaulizia lakini muuzaji akasema hanishauri kununua hizo mana hazifanyi kazi vizuri kama zile za aluminum
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom