Dar hakuna sehemu kama hiyo. Katafute mkoa wa Pwani kama lengo lako ni angalau uendelee kuwa Darwasalaam wakulima wenzangu...dar es salaam ni wapi kuna shughuli za kilimo cha umwagiliaji mtu anaweza kukodi shamba na kulima hapo?
nimaeneo yapi mkoa wa pwani ambayo nikaribu na Dar hususani wilaya ya Ilala ambapo mtu anaweza kusimamia shamba lake la umwagiliaji kwa urahisi?wanajamviii!