chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,455
Wakuu habari
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye malengo lukuki kuhusu kilimo na ufugaji hapa nchini,
Nimeamua kujitosa kwenye kilimo na ufugaji hapa Arusha!
Ninachokitafuta kutoka kwenu ni kupata connection za wadau mbalimbali wa kilimo hapa arusha, hii inajumuisha mashirika, makampuni, watu binafsi na serikali, kwa ujumla wake
Kwa kuanzia nataka kupata eneo la kukodi au greenhouse ya kukodi
Nataka kuanza na hoho pamoja na nyanya
Pia napenda kujua kuhusu masoko hapa arusha
Naamini nitapata msaada mkubwa kutoka kwenu