Nahitaji Shamba Misungwi mkoani Mwanza

Nahitaji Shamba Misungwi mkoani Mwanza

Koala

Member
Joined
Aug 28, 2011
Posts
97
Reaction score
107
Habarini za leo wanajukwaa.Mimi ni mkazi wa mwanza.Natafuta shamba wilaya ya misungwi.Mwenye taarifa yoyote nakmba aje PM.


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Misungwi kubwa mkuu

Kuna kolomije kwa akina daudi Albert bashite kuna nyambalalo ,,kuna setepo na sehemu nyingi tu
 
Habarini za leo wanajukwaa.Mimi ni mkazi wa mwanza.Natafuta shamba wilaya ya misungwi.Mwenye taarifa yoyote nakmba aje PM.


Post sent using JamiiForums mobile app
Unahitaji hekari ngapi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unahitaji hekari ngapi

Post sent using JamiiForums mobile app
Inategemea na bei,ila nahitaji kuanzia 10. Pasiwe mbali na mjini.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom