Greenhouse

47pro

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
1,204
332
Guys igweeee, naomba kujua jinsi ya kupata greenhouse kwa ajili ya shamba la ekari moja. Ni greenhouse ngapi? Moja Lina cover ukubwa gani? Je ekari moja zitakiwa ngapi?je greenhouse package yake inakua na nini na nini? Shamba liko marangu moshi.
Any ideas pls
 
Kabla ku post tuwe na tabia yakupitia humu kwenye thread kwani mengi si mapya yameshajadiliwa sana.
Hivyo pitia thread zilizopo humu utapata majibu na hata contact za wataalamu pia utapata
 
Mkuu, ungetoa link ingesaidia.
 
Je,unalolote unataka kujua kuhusu greenhouse?
Tafuta thread yenye tittle hio
 
Guys igweeee, naomba kujua jinsi ya kupata greenhouse kwa ajili ya shamba la ekari moja. Ni greenhouse ngapi? Moja Lina cover ukubwa gani? Je ekari moja zitakiwa ngapi?je greenhouse package yake inakua na nini na nini? Shamba liko marangu moshi.
Any ideas pls
Mkuu ukipata gharama niambie nahitaj kufahamu
 
Back
Top Bottom