Bei ya complit tractor

bab-D

JF-Expert Member
May 2, 2015
1,207
301
napenda kuuliza zile tractor za millin 20-35 ukitaka kuikopa ikiwa na tela lake panoja na PTO water pump itagarim sh ngapi kwd miaka mitatu? na je marejesho kwa mwez inaweza kuwa Tsh ngapi?

Msaada wadau
 
Mkuu Kama hayo ni matrekta ya aina gani kwa bei hiyo? Maana ni.bei rahisi sana hiyo

Umejaribu kuuliza huko ambapo umeipata hiyo bei?
 
Mi nimefuatilia sabasaba bei sio hiyo kuna matrekta m.100 na mengine m 55 lkn swalaj yenye 4wd m 45 2wd m35 na aina zingine bila ya chochote nimecheki agri com na jkt pamoja na Jo deeper ndio bei izo kwa bei ulizo taja wewe ni vitrekta vidogo vidogo kuna mawakala wanakopesha lkn sijajua kwa kipindi cha 3 yrs ni kiasi gani bado nafuatilia nikipata data ntakujuza

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
SUMA JKT mwenge yapo mengi sana.
tunnel_slide11.jpg

upload_2017-7-12_21-10-4.jpeg

DSCN1412.JPG
 
Nimetaja uwezo kwa uchache inamaniisha chini ya 2wd sasa izo ni mtihani kwani unataka kulimia nini au mchicha?

Sent from my Y4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom