Hodi

Hodi

mnang'umba

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2015
Posts
471
Reaction score
150
Habari mimi ni mgeni humu,ninaungana nanyi ktk kilimo,mm tayari nina eka 7 za matikiti katikati ya mwezi ujao nitaanza kuvuna eka 2 za mwanzo lakini huku ninakolimia kuna changamoto nyingi sana.usiku nguruwe wanasumbua hatulali mchana nyani na wafugaji naombeni fikra zenu nifanyaje?
 
Nunua bunduki.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Hao Nguruwe nawatamani sana. Nakushauri waue tu utuuzie nyama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom