Nahitaji kufahamu jinsi ya kuandaa na kufanya suala zima la kilimo cha greenhouse

ukiingia youtube na ku-google utapata video na makala nyingi zaidi kuhusiana na greenhouse
 
labda ungebadili mada kuwa kitu kama ya kujadili na kuelekezana juu ya ulimaji ndani ya greenhouses kwa ku share uzoefu uliopitiwa na wadau katika kilimo hiki na mafanikio yao pia, ili uchangiaji na ku share mawazo kuwepo zaidi, mtizamo tu
 
Nakushauri kama hujawai kufanya hii kitu kabisa. Ni bora ukatafuta makampuni yanayouza hizi greenhouse ili kujijengea uwezo kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom