Van Halen
Senior Member
- Dec 4, 2013
- 111
- 188
Habari zenu, wana JF ...
Ni mara yangu ya kwanza kuanzisha uzi humu ndani, ingawa nimekuwa mchangiaji mara chache kwenye nyuzi za wengine, hususan kwenye jukwaa la MMU.
Kuna rafiki yangu mmoja aliwahi kunigusia kuhusu kilimo cha mkonge na faida zake kwa uchache. Nimejaribu kuangaza humu ndani, sijaona popote ilipoongelewa.
Tafadhali kwa yeyote anayefahamu kiundani kuhusu utaratibu mzima wa tangu kupanda mpaka kuvuna, na taarifa kuhusu masoko yake.