Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wana JF. Naomba wale walio na uzoefu wa kilimo cha Miti wanifungue macho kidogo. Nina heka kadhaa za ardhi katika ukanda wa Pwani ambapo nilijaribu kulima mazao ya kawaida (Nafaka) mwaka...
2 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wadau, Niko na kamtaji kangu nataka nilime Tangawizi pale Same nimepata fununu kuwa pale ndo msimu wake huu. Naombeni mwenye utambuzi kdogo anisaidie. 1. Gharama ya kukodi shamba Ekari...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafuta miche ya strawberry niko Dar es salaam
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nahitaji tani kumi makopa jumatano
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna njia tofauti za kuanza au kuongeza mtaji kwa mfugaji wa kuku kama vile, kununua kuku wakubwa, vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine au kuzalisha vifaranga wako wewe mwenyewe. Kupunguza...
2 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wanakilimo wenzangu, Mwenye ushauri na soko la mbaazi na wanunuzi wa bei nzuri wa hili zao,Shamba langu lipo morogoro.
1 Reactions
59 Replies
24K Views
NJOMBE FOREST PLANTATION PANDA MITI YA MBAO UNUFAIKE. Kilimo cha miti kimepata umaarufu wa ghafla miaka ya hivi karibuni kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ongezeko la mahitaji ya mazao ya...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Nina mahindi Zaidi ya Tani 20,kwa magunia ya Debe sita, natafuta soko kwa anae fahamu anijulishe tafadhari. PM kwa taarifa yyte.
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi ni mkulima ambaye Niko maeneo ya Bagamoyo ..Mkoa wa Pwani...Nataka kulima mahindi kipindi hichi cha mvua za vuli ....Je nitumie Mbegu gani ya mahindi..?..Ili nipate mavuno mazuri.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula. Chanzo ITV, 05/09/2017 My take: Hii ni fursa...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari! Kuku wangu wanakosa nguvu za miguu na baadae hufa,. Kwa anae jua chanzo na tiba tafadhali nijulishe . Shukran
1 Reactions
11 Replies
20K Views
Habari za majukumu wadau, nachukua nafasi ya kuandika uzi huu kwasabau ya utayari na nia ya kutaka kujua zaidi na kuwa na mchanganuo sahihi juu ya mpango wangu wa kuamua kuingia jumla katika...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
MITAJI, MITAJI, MITAJI WAJASIRIA MALI HABARI? Moja ya changamoto kubwa inayo kabili wajasiriamali wengi ni mitaji na kama mnavyo jua Benki sio lafiki wa wakulima, yaani ni rafiki kwenye...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
NI LINI UNAPASWA KUONDOA KUKU WAKO WOTE BANDANI NA KUWEKA WAPYA? Wafugaji wengi huwa tunafuga ila kitu kimoja ambacho hatukizingatii ni mahesabu, Ni wafugaji wachache sana wanao zingatia mahesabu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Naanza kwa kusema kuwa nchi hii tuna uhaba mkubwa wa wataalamu wa kilimo , na hata wataalamu waliopo hasa vijijini hawazipendi kazi zao na sio wafanyaji wa kazi kitaalamu bado wanafanya kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ninafuga kuku wa kienye ambao wamefika 80 na huwa ninawaachia wajitafutie chakula wenyewe,kwa sasa hivi kuku wangu wameanza kufa ghafula bila ya kujua ni kitu gani kinachosababisha vifo...
0 Reactions
34 Replies
15K Views
Natafuta bata aina ya bukini nataka kununua mwenye nao au anayefahamu sehemu walipo tujilishane.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari Naomba kujua athari za dawa ya kuku kwenye mayai. Nimewapa kuku dawa ya typhoid inaitwa Fatrium bado wapo kwenye dozi, mayai yanaweza kuliwa au nisubiri siku kadhaa. Naomba anayefahamu anijuze
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wapendwa mnisiadie nahitaji Kulima muhogo maeneo ya Pwani panaitwa Bungu njia panda ya kwenda Nyamisati Kwa wanaofahamu maeneo hayo ikiwa ni pamoja na ardhi yenyewe inafaa au?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom