Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

Nimewahi kusimamia kilimo kwa MTU binafsi ndio naingia rasmi hapana ila ndo nimeanza kuandaa miundombinu ya kuja huko kikazi nimeanza kwa kutafuta Shamba ,sasa naingia awamu ya pili naandaa makazi ili nije kuanza rasmi kazi
 
Mimi nina vifaa vya umwagiliaji vya heka saba full.
Generator .sprayer .na solar kwa ajili ya matumizi ya kawaida .
Nipo tayali wewe toa mchakato na mnyumbulisho wa contribution yako
 
Mm mtu anisaidie tu kupata shamba hekar mbili kwa ajili ya vitunguu maji aisee nitashukur sana
 
Mliquid unataka maeneo gani? mimi nipo Morogoro, mimi nilipopata wanalima kunde, choroko, mbaazi, mihogo, mahindi, mtama, ulezi, nyanya, pilipili nk.
Mkuu nahitaji kulima mahindi hko ulikopata, unaweza kuniunganisha na wakodishaji?? Bei pia zipoje? Natanguliz shukran.
 
Mliquid unataka maeneo gani? mimi nipo Morogoro, mimi nilipopata wanalima kunde, choroko, mbaazi, mihogo, mahindi, mtama, ulezi, nyanya, pilipili nk.
Au ata ukiwezekana nije hko tuweke kambi na tushirikiane tupige kazi, vijana tukiamua tunawez, tukiwa kama na hekar 3 hivi na tukasimamia wenyewe vzr tutakuwa mbali sana, tunawez kuamua kuongeza tukivun.
 
Back
Top Bottom