Dawa ya Kuzuia Wadudu

Dawa ya Kuzuia Wadudu

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,649
Reaction score
3,816
Wakuu nataka kufanya kilimo cha bustani maeneo pwani huko, mazao yatakuwa Nyanya na Pilipili Hoho

Nachohitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia kuweka kwenye Vitalu au Viriba ili kuzuia miche kushambulia ikiwa midogo

Kwa maana nilijaribu kuweka mbegu kidogo eneo la nyumbani,,baada ya siku 3 ziliota ila kesho yake nkakuta zimekatwa vile vijani viwili,inaonekana kuna mdudu anaila ikiwa midogo kbs.

Kwahyo nataka kujua dawa ya kuzuia hili tatizo nitakapoingia kamili wakuu
 
Back
Top Bottom