Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

Special Thread: Korosho msimu 2017/2018

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
974
Habari wakuu,​
Kwa wale wenzangu wa kusini na wakulima wa korosho a. k. a "makinikia ya kusini" kwa ujumla naomba tujumuike kujuzana changamoto mbalimbali katika msimu huu, ikiwemo upatikanaji wa pembejeo, magonjwa kwenye shamba lako, bei na malipo, pia kama una chochote cha kujenga kama ushauri kwa wakulima wenzako ruksa.​
 
Mwaka Huu bei ikifika TZS 5000/kg tunahama ntwara. Watu Wakuja patakuwa pagumu sana
 
Kuanzia next week nitakuwa mtwara nikitembelea vyama vikuu vya ushirika vya korosho kuasses biashara yao na matarajio either kufanya export au kuongeza thamani.
 
kuanzia next week nitakuwa mtwara nikitembelea vyama vikuu vya ushirika vya korosho kuasses biashara yao na matarajio either kufanya export au kuongeza thamani....
Karibu Mtwara mkuu
 
kuanzia next week nitakuwa mtwara nikitembelea vyama vikuu vya ushirika vya korosho kuasses biashara yao na matarajio either kufanya export au kuongeza thamani....
Karibu sana Mtwara mkuu
 
Huu Uzi ntalala nao mbele mpaka siku ya mavuno, mikorosho yangu nishaiweka dawa.
 
Mi napenda tu kutafuna korosho

Kwaiyo nawachangia

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Korosho a. K. a makinika ya kusini a. K. a the green gold
 
Back
Top Bottom