Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Labla umesha wahi kujiuliza maziwa ya madukani yanasindikwa VIP na yanakaa muda gani,maswali yako yamepata majibu 1:Natoa mafunzo ya kusindika maziwa ya mgando kama ya ASAS TANGA,nk pia kama...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu!! Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wananchi wilayani Kilindi wametakiwa kujihusisha na ufugaji wa Nyuki kwani kwa kufanya hivyo watakuwa pia wameyatunza mazingira yao kwa kuwa ufugaji wa Nyuki huhitaji mazingira bora na hivyo...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini wakuu, ninahitaji vifaranga vya kuroiler toka kwa mfugaji yeyote hapa mbeya (ndani ya wiki hii) kwajili ya mradi wangu nipo mbozi mbeya ..0744575261... Asanteni muwe na siku njema Sent...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau Nina bata wengi so chini ya 100 wapi nitapata soko la kuwauza.
0 Reactions
23 Replies
18K Views
Wadau wa jukwaa hili nina imani kubwa sana nitasaidiwa na wataalam wa mambo ya mifugo hapa. Ni hivi nina ng'ombe wangu hapa ambaye alipandwa mwezi februali mwaka huu, tatizo ni kwamba tangu...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojitanabaisha, nahitaji mbegu ya karanga. Nipo Iringa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, nahitaji sana hawa kuku aina ya KARI nasikia wanataga sawa sawa na kuku wa kisasa wa mayai na wako developed na Serikali ya Kenya. Naomba mwenye nao au mwenye contact za CHasha make...
0 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari wapendwa, Nalima kitunguu huko Dodoma hekari moja. Kuna mdgo wangu niliemwacha huko anapiga kazi katoka kunipia simu kitunguu kishaanza kwmuweka rangi ya njano hivi na vingine kudondoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza naomba nitoe shukrani zangu member wote walionipa ushauri na hatua za kuchukuwa katakana na tatizo kwa kuku wangu.Nilienda kwa mtaalamu wa mifugo nikampa maelekezo nashukuru nilipata dawa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mazao gani mbeya naweza kulima .ushauri
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba husika na kichwa tajwa hapo juu.Kuku wangu wanaumwa sijuwi ni ugonjwa gani lakini wanatoa kinyesi cha kijivu/weupe na hawataki kula.Wamepooza sana hali hiyo nine Iona leo asubuhi. Wataalamu...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu Mimi ni mjasiriamali ni nae taman kuanza kilimo cha uvuvi japo sijui mengi lakini naamini Ninyi mwafahamu mengi zaidi maana Mimi ndo kwanza naanza Sasa Niko Na wenzangu Wengi tuu wenye...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Za leo, nilikuwa naomba kujua nahitaji kiasi gani kwa gharama Za Sasa nikiwa tayari na Banda langu la kufugia kuku 500 Wa Mayai! Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Licha ya msimu mpya wa ununuzi wa zao la Korosho Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma kuanza, wakulima walalamikia ubovu wa barabara na uchache wa magari ya kusafirisha korosho kwenda sokoni...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Ugongwa wa ndui umekua kikwazo kikubwa kwa wafugaji kuku wa kienyeji. Sasa naweza kutibu kuku wangu wenye ugonjwa huo, hii ni baada ya utafiti wa mda mwingi kidogo. Ni dawa ya kupaka. Baada ya...
1 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari wanaJf, kwa sasa tunapoelekea musimu wa kilimo , tujadili fursa zinazopatikan musimu wa masika ambapo zaidi ni kilimo! Kuliko kukaa na kuwajadili viongozi wetu na vyama vyetu!! Nina amini...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu kwa sasa unaweza pata Kuroiler Breed kwa Oda, Ila kama uko mbali na Arusha means Dar na kwingineko trasnport utaalenji mwenyewe. Kuroiler ni Breed kutoka India ina origine ya India, ni moja...
2 Reactions
29 Replies
9K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu... Kila mwaka nipitapo maeneo ilipo klabu hii kongwe Yanga Afrika, nakuta bwawa la samaki pembeni ya Jengo la Klabu hiyo...!! Naomba kujua ni aina gani ya Samaki...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom