Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

wenye ujuzi wa ufugaji wa samaki na ujenzi wa mabwawa ya samaki naomba tutafutate kwenye no 0738299299
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nipo katika hatua za mwanzo za kilimo cha nyanya na leo asubuh nimeona hii hali kwenye baadhi ya miche, miche ina siku 16 sasa Naomba kujuzwa ni ugonjwa gani na nitumie dawa gani na kiasi...
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Msaada jamani miparachichi yangu inashambuliwa sana nitumie dawa gani kuitibu maana majani yana jikunja na kukakamaaaa
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wanajf Naomba mnisaidie yafuatayo.. 1.Ni mtaji kiasi gani unahitajika kuanzisha biashara ya nguo spesho? Nguo hizo zinapatikana wapi kwa bei rahisi zaidi? 2.Ni mtaji kiasi gani...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mbegu za binzari kilo 100, kwa yeyote mwenye kuwezesha kupatikana kwa mbegu hii naomba aniibox.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye kanga weupe au anayeweza kunisaidia kuwapata anisaidie. Sihitaji vifaranga wadogo nahitaji wakubwa. Napatikana Ruvuma
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba ndugu zangu watafiti wa kilimo wanisaidie hawa wadudu nawamwagilia dawa gani maana wanatafuna huu muembe kwa kasi ya standard gauge Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana jamvi Ni ukweli usiopingika wafugaji walio wengi wanagawana faida na maduka ya vyakula vya mifugo..Nataka kutoa changamoto zilizokuwa zinanikabili kwenye chakula cha mifugo yangu na...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
kama kuna mtu anajishughulisha na biashara ya kuuza vitunguu kwa jumla DAR AU MORO naomba aniPM tutete jambo. thank you.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Poleni na mizunguko ya kila siku, mimi ni mwanafunzi wa chuo... Nmeamua kulima mpunga, sababu napenda kuinvest katika kilimo,, ila bado nakosa hints za kutosha kwa kilimo Cha mpunga, KWA CHOCHOTE...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalamu naomba msaada wenu nina kuku wangu aina ya kuchi anaumwa anasinzia na kuharisha kinyesi kama cheupe ni dawa gani inaweza kumtibu kuku wangu naomba msaada Maana nilimnunua bei kubwa sana...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
yoyote mwenye ufahamu mzuri kuhusu soko la kuku wa kienyeji lenye tija Nahitaji kufahamu bei ya kuku ya sasa mtetea na jogoo? pia sehemu nayoweza pata soko la kuku hawa? ##Giftedhand.. email...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hi jf hili ni tatizo gani Leo siku ya 15 kashakula mayai 3 anayoatamia je nifanyaje?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kama kichwa kilivyoonyesha nimekuta mwembe wangu umevamiwa na wadudu ambao siwajui naomba wahusika wa kilimo mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Hivi serikali inapotaka kuchukua eneo na kunamazao ya kudumu, je kwa zao kama katani unalipwa sh ngapi kwa shina? Je mazao mengine kama embe, miti ya mbao, korosho,chungwa etc. Naomba wazoefu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni wapi ntapata dhania seeds tanzania
0 Reactions
19 Replies
3K Views
UTUMIAJI WA SHUBIRI MWITU KWA KUKU zipo dawa tofauti za asili zinazopatikana kirahisi kwenye mazingira yetu ambazo zina uwezo wa kutibu magonjwa ya Kuku katika page hii tutajifunza baadhi ya hayo...
1 Reactions
0 Replies
9K Views
Kwanza Tambua kwamba F1 au First generation hutoka kwenye Parents stock pekee. Parents stock ndo huzaa F1.na parents stock huagizwa nje na parents stock hutoka kwenye Grand Parents. Grands...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
9 Reactions
205 Replies
41K Views
Wengi tunakuwa na malengo mazuri ya kimaendeleo hasa ya kulima mazao fulani, lakini tunakwamishwa na shughuli mbadala ambazo nyingi ya hizo ni zile za ofisini..kwa kuona hilo CHALAJI COMPANY...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom