Udongo wa kichuguu unaweza kutumika kama mbolea

Udongo wa kichuguu unaweza kutumika kama mbolea

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,919
kwa mfano mahindi ukilima kwenye kichuguu yanakubali sana hata bila kuweka mbolea.
Kwa kupitia hilo nilienda kijiji kimoja hivi hapa tanzania nikakuta wanatumia udongo wa kwenye kichuguu kama wanavyo tumia samadi. Na wanasema mahindi yanastawi vizuri kabisa.
 
Hilo ni kweli sisi tuliweza kusambaza kisuguu shamba zima ila ikiwa shamba lina visuguu vingi sasa tatizo maeneo mengi hata visuguu hawavijui kabisa so this application may be so hard to them.
 
Back
Top Bottom