Mkwere Sumbawanga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2015
- 734
- 634
Habari wadau! Amani kwenu. Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya na mwaka huu Nina kama ekari moja na nusu nililima nyanya tu sasa zimekubali vizur tatizo hakuna wateja. Naulizia njia nzuri ya kusindika Nyanya ni ipi au nizifanyeje?