Nitumie dawa gani kuwaangamiza viwavi?

WebPeter

Senior Member
May 23, 2017
108
59
Nimekwenda kwa shamba langu Leo jioni kutazama maendeleo ya zao langu niliyo yakuta ni hao viwavi, dawa gani nitumie?
8d9cdb1b6a48d0abeb2fc06302c97fca.jpg
IMG_20170819_180145.jpg
IMG_20170819_180412.jpg
IMG_20170819_175702.jpg
41618f64ae2e6708afea3a34d4441957.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumia dawa yenye mchanganyiko wa kemikali yacypermethrin na imidacloprid ama dawa zenye kemikali ya lambda-cyhalothrin
 
Back
Top Bottom