Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wakuu, Kwa wale wenzangu wa kusini na wakulima wa korosho a. k. a "makinikia ya kusini" kwa ujumla naomba tujumuike kujuzana changamoto mbalimbali katika msimu huu, ikiwemo upatikanaji wa...
2 Reactions
41 Replies
11K Views
Serikali imeombwa kuwekeza fedha katika utafiti wa mbegu za mafuta ikiwemo Alizeti na Ufuta, badala ya kuwategemea wafadhili ambao licha ya kugoma kuwekeza katika mazao hayo wamekuwa na masharti...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
kwa mfano mahindi ukilima kwenye kichuguu yanakubali sana hata bila kuweka mbolea. Kwa kupitia hilo nilienda kijiji kimoja hivi hapa tanzania nikakuta wanatumia udongo wa kwenye kichuguu kama...
2 Reactions
3 Replies
4K Views
Natafuta MTU wa kuweza kushirikiana tuanzishe kilimo cha umwagiliaji ,hususani kilimo cha matunda Na mbogamboga nataka MTU ambaye yuko makini Na anafahamu kilimo ili tufanye kilimo chenye tija.
7 Reactions
87 Replies
18K Views
Wakuu Mwenye uzoefu wa kilimo cha mahindi Dakawa kuanzia upatikanaji mashamba ya kukodi,kulima,mavuno na makadirio ya gharama kwa heka kuandaa shamba mpaka kuvuna. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wanakijiji naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kusafisha kuku wa nyama wakishachinjwa na kuwakausha vizuri ili wasibakie na majimaji ya damu kabla ya kufungasha, kwani yale maji maji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu.Natumai mu wazima wa afyà,kama kichwa kinavyoeleza nahitaji kufahamu kuhusu mbegu bora inayostahimili magonjwa na kutoa mazao mengi ya muhogo. Mwezi nimeanda shamba la ekari 5 nataka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakubwa habal ,naomba kupata mawazo juu ya kilimo cha biringanya pamoja na solo lakee
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HOFU INAVYO TUGHALIMU KWENYE SAFARI YA UJASIRIAMALI Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapenda kuwa kama Mengi siku moja. Tunavyokuwa tunaendelea kutamani kuwa kama wakina...
24 Reactions
23 Replies
5K Views
Wakuu nataka kufanya kilimo cha bustani maeneo pwani huko, mazao yatakuwa Nyanya na Pilipili Hoho Nachohitaji kujua ni dawa gani naweza kutumia kuweka kwenye Vitalu au Viriba ili kuzuia miche...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, Ninatafuta mtu aliyesajiri chuo cha uandishi wa Habari na Utangazaji NACTE au VETA naomba kuwa wakala wake mkoa wa Mbeya. Ina make profit sana. Naomba tuwasiliane kwa PM Nipo tayari muda...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu naombeni kujua kuhusu kilimo cha mahindi jinsi ya kuandaa shamba, kupanda, hadi kuvuna kwa heka 1 unaweza ukavuna kiasi gani[emoji122]
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimehitimu Diploma ya mifugo(DAHP) nnamtaji wa million 2.5 tu, nko njombe vijijin kuna kama kata NNE hakuna mtaalam kilimo/mifugo wala vet. centre na wananch nanafuga sana Nguruwe Kuku, mbuz...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, Naombe msaada wa namna/ hatua za kufuhata kuanza kuuza mazao kwenye super market baada ya kuvitoa sokoni, Je natakiwa nifuhate hatua zipi?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu.. CV yangu -INFORMATION TECNOLOGY & HIPHOP artist mtaji m 1200,000/= kutokana na ujuzi wangu nijiajiri vp wakuu.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ili kuwanusuru wakulima wa tumbaku na hasara wanayoweza kuipata ya kukosa soko, serikali imeanzisha majadiliano na nchi nne za India, Misri, China na Iran ambazo zimeonyesha nia ya kununua shehena...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kama uzi unavyojieleza liwe fundisho Kwa wengine.. Najua vijana Kwa Sasa wapo makini Kwa kuanzisha miradi mbali mbali.. Mimi 1 wapo nilianza na mradi wa kuku 10. Matetea tupu nikawapiga chanjo na...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Natumaini wazima wa afya, Nilikuwa mkimya kitambo kidogo nilikuwa shambani kwenye field baada ya kusoma maandiko mengi na sasa nategemea kuvuna matikiti tarehe 5 mwezi wa Tisa. Tafadhali kama kuna...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
APPLY NOW to the LEAD Project Investment Fund Are you an entrepreneur? Are you looking to expand your business? Poultry feed processor, hatchery, poultry meat processor, maize seed...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom