Kwa wafugaji wa kuku na wanyama wengine wafugwao mlio dareslam.

farmersdesk

Senior Member
May 26, 2012
164
120
Karibuni farmas centre ilala Amana.kutana na doctor wa mifugo (veterinarian) kwa Ushauri bure kabisa njinsi ya ufagaji WA kuku aina zote. Utasikilizwa na utapewa Ushauri bure kabisa. Ukifika dukani uliza, Dr khalfan.
Kwa mawasiliano 0752367114.
Karibuni Sana tumieni fursa hii.
 
Duh lile duka wote ni madoctor wa mifugo, nikiwaangalia wengine pale dukani huwa napatwa na kwikwi
 
Duh lile duka wote ni madoctor wa mifugo, nikiwaangalia wengine pale dukani huwa napatwa na kwikwi
Mkuu karibu Sie ni wageni ndo Kwanzaa tumetoka Sua.ukija pale utatoka umeridhika. Waliotembelea pale siku Za karibun wanajua nacho maanisha. Kwa ufugaji wa faida karibu farmers centre.
 
Mkuu karibu Sie ni wageni ndo Kwanzaa tumetoka Sua.ukija pale utatoka umeridhika. Waliotembelea pale siku Za karibun wanajua nacho maanisha. Kwa ufugaji wa faida karibu farmers centre.
Sawa inawezekana kuna mabadiliko ila kabla mie nilishaacha kuja hapo kwani hao madaktari waliokuwa hapo walikuwa sio
 
Back
Top Bottom