Imebainika kuwa sehemu kubwa ya mazao ya chakula yanayohifadhiwa katika maghala hupotea kutokana na kukosekana kwa njia bora za uhifadhi wa chakula.
Hali hiyo inatajwa kupunguza thamani ya mazao...
habari wakuu....mpapai wangu umekua sana na unazaa kwa sasa...ila maua yake yanashambuliwa sana kila likianza kutengeneza papai linakufa..mapapai machache sana yamesurvive..naomba kujua nipulizie...
wamekufa kuku 2,na sijajua haswa niwapatie Dawa ipi kwakua sijajua ugonjwa wake
DALILI
Wanakunya kinyesi cha kijani+cheupe
wanasinzia sinzia
Wanatoa udenDa
Tafadhali kwa mtu anayefahamu ni ugonjwa...
Wakuu habari...
niende moja kwa moja kwenye mada...
nina shamba Bagamoyo kidomole ekari 10 ila lina magugu na hamna maji...
ninafikiria sijui nifanye kilimo gani/kitu gani ambacho hakitaweza...
Habari za asubuhi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema.
Naomba kusaidiwa kupata directions hizo kutokea makumbusho Dar-es-Salaam.
Thank you in advance.
God bless you
Jambo la muhimu kuliko yote kwa wale wenzangu na mimi tunaotegemea kilimo cha mvua ni kujua ni lini hasa mvua hizo zinaanza.
Hii itakisaidia kujua kuwa ni lini uandae mashamba na upandaji unaanza...
NIMENUNUA SHAMBA MKURANGA KWA NIA YA KUANZA KILIMO MWAKA ULIYOPITA NILILIMA NYANYA NA NILIVUNA VIZURI HILA NILILIMA KAMA EKARI 2 TU ZILIBAKI EKARI 10,KWAHYO NIMEONA KULIKO KUACHA PORI
WAKATI...
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyojieleza.
Naomba mwenye connection na wadau Wafugaji ili ninunue Jogoo mzuri Chotara kwa ajili ya mbegu.
Nahitaji pia vifaranga chotara kuanzia 50 hivi...
Wana JF nimekutana na changamoto leo nilipoulizwa juu ya maharage ya FIWI na huyo mtu akaniambia yana soko sana kenya na india,
naomba mnisaidie haya maharage yanalimwaje, mbegu inapatikana wapi...
kilimo cha samaki ni kilimo rahisi saanaa na ni kilimo kinachotumia mahitaji rahisi na ya kawaida
kama vile aridhi na maji.
lakini pia kilimo hichi hukumbwa na changamoto mbalimbali.kama vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.