Tuna tatizo kubwa sana la ajira, watu wamefunga, wengine wanakesha wakisali na kuomba makanisani na misikitini wapate ajira lakini bado tatizo lipo.
Tanzania tumebarikiwa Ardhi, Halafu pia...
Kwa anayetaka funza kwa ajili ya mifugo tuwasiliane.
Natengeneza funza kwa ajili ya kuku, bata, mbwa n.k Kwa wale wanaohitaji tuwasiliane. Walioko mbali nitawaelekeza waandae huko huko waliko...
Ndugu zangu wakulima umezuka ugonjwa mbaya unashambulia mimea ya mahindi kwa kasi sana,
ugonjwa huu uta waathiri sana wakulima wa mahindi mkoa wa Rukwa iwapo haitadhibitiwa mapema.
Homa ya Matumbo (Fowl Typhoid)
Ugonjwa huu husababishwa na Bakteria na huwapata kuku wa umri wote.
NAMNA UNAVO ENEA
huambukizwa kutoka
kwa kuku wagonjwa kwenda kwa kuku wasio wagonjwa, kupitia...
Habarini za usiku wana janvi wenzangu ,nimekuwa mfuatiliaji wa vyakula vya mifugo kwa ujumla kwa undani,laikini nimekuwa nikishangazwa na hiki kitu kinaitwa concetrate ambayo uchanganywa na...
Habari, kwa wajuzi wa Mambo ya KILIMO, Avocado inayopatikana Tanzania inaitwaje kitaalam? Nimeona kama South Africa wanazo aina 3
Hass, Fuerte, and Puebla...
Tanzania tuna aina gani?
Shukrani.
habari wana jamii natumai mu wazima wa afya,samahani naomba kufahamishwa ni jinsi gani naweza kupata mashine za kusaga kokote na bei zake,napatikana singida
Nitafurahi mkinisaidia kwa hilo
Habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwenye taarifa zozote kuwa wapi naweza kupata mkopo wa kilimo anisaidie,natafuta kukopa kiasi cha 3mil. Kwa lengo la kuimarisha Shamba la mpunga lililoanza tayari...
Habari ndugu zangu, nimeona nilete kwenu fursa hii ya ufugaji wa kuku wa nyama pamoja na mayai; Mimi nina mabanda makubwa mawili ambayo kila moja lina uwezo wa kubeba kuku layers (watagaji) 500...
nimesikia biashara ya pweza ni nzuri hasa kwa watu kama sisi ambao kimsingi bado tunawategemea wazazi inatosha sana kukusaidia kupta mtaji wa kuanzisha biashara nyingn
kama upo vizuri...
habari zenu wakuu nadhani tunaendelea vyema kuijenga nchi yetu nilikua naomba ushauri nmepata shamba la eka tano maeneo ya bagamoyo nlkua nataka nilime mahindi ila kwa kilimo cha kisasa kwa mdau...
Habari wana jamii,
Kama kinavyosomeka kichwa cha habari mimi ni mdau ambae ni mgeni katika mambo ya kilimo ila nimeamua niweke nguvu zangu huko.
Nimelima mpunga ekari 5 msimu huu na ninahitaji...
Kama huna mtaji wa biashara ya mazao ya vyakula soma hapo na kama unahitaji kununua mazao kwa gharama nafuu kutoka mikoa mbalimbali kwa kusafirishiwa bure soma hiyo pdf.
Ahsante
NB:nimecopy na...
Samahanini wanajf nimepanda mbegu za mstafeli lakini mpaka sasa bado hazioti na hii ni kama wiki ya pili sasa. Sijujua nimekosea wapi naomba kwa anayejua anieleweshe
Mimi ni mfugaji mdogo mdogo wa ndege aina ya kanga nimekuja hapa kuomba msaada
Mifugo zangu zimekumbwa na ugonjwa wa mafua wote wakubwa kwa vifaranga nisaidieni jamani ni aina gani ya dawa...
Habar wakulima wenzangu, poleni na majukumu najua wengi mko busy na shughuli za kilimo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya nchi. Shime tupande mazao yanayokomaa kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.