Msaada Juu ya Kilimo Cha Bilinganya

lumia21

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
271
243
Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu....

Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban kwangu na zimekubali vizuri, ila nimepanda kama tano tu za majarbio..


Sasa nafikiria kulima Bilinganya seriously. Hivyo basi wadau wote wenye chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya watupie mawazo yao

Hasa ningependa jua ni msimu gan mzuri wa kulima hili zao kwa soko la dar maana ndio soko nalo lilenga !

~Lumia
IMG_20180408_090920.jpg
 
Back
Top Bottom