Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Serikali ingilieni kati, Mbolea imekuwa na masharti magumu kununua, sasa hivi hakuna kupima kwa kilo, kila mkulima analazimika kununua mfuko wa Kilo 50 ambao bei yake ni sh 50,000-55,000 wengine...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba nitoe wito kwa wanasiasa, watuache sisi wakulima wadogo wadogo tuendelee na maisha yetu haya ndio maisha yetu, tunaomba wasituhamishe kufanya kitu kingine ambacho hatujakiona, miaka yote ma...
1 Reactions
3 Replies
946 Views
The Minister of State in the Prime Minister's Office (Policy, Parliamentary Affairs, Labour, Employment, Youth and the Disabled), Ms Jenista Mhagama said that the project will closely involve...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu.. Mie ni mkulima napatikana Kilosa Rudewa, najihusisha na kilimo cha Ngogwe ali maarufu kama Nyanyachungu.... Kama picha inavyo onyesha nimejarbu panda Bilinganya shamban...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kwa wanao jua chochote kuhusu kilimo cha Bilinganya hasa masoko Mie nimkulima , huwa nalima Ngogwe ali maarufu kama nyanya chungu lakin nataka hamia kwenye Bilinganya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Korogwe Tanga
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wadau, Naomba msaada mwenye kufahamu njia rahisi ya kuwaondoa nyuki waliojenga pembeni ya paa la nyumba. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Heshima mbele, Kuna eka 4 nilianda shamba Pwani ,nataka kuchanganya mazao karibia manne . Hamna source ya maji so nataka kucheza na hizi mvua. Naomba msaada na ushauri niweke mazao gani hasa yale...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Health facts Of Snail Snail contains Omega-3 fatty acids 218mg, Total Omega-6 fatty 17.0mg. American Heart Association (AHA) has recommended that a person must meet 5-10 percent of daily...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nawaletea mpango mkakati huu ili tupambane na umasikini.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wakulima, Kama kuna ambae huwa analima na kuuza tikiti masoko ya dar es salaam naomba aniunganishe na dalali wake ambae ni mwaminifu ili niwe namtumia kumpelekea mzigo wangu ukiiva. Nina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wadau.. Natafuta mtaalamu wa kunivutia nyuki shambani kwangu. Kama kuna mwenye mawasiliano naomba msaada. Shamba liko Mkuranga na malipo nitafanya baada ya nyuki kuhamia kwenye mizinga...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, nimechimba kisima cha mkono cha futi kama 35 hv (10.666 meter) na nataka ninunue mashine kwa ajili ya kumwagilia, swali langu ni je 1. Nikichukua zile za kudumbukiza kwenye maji...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
Wadau, baada ya kusoma sana mada mbalimbali zinazohusu tikiti na kuelewa, nilijipanga na kumtafuta mtaalamu atakaeweza kunisimamia na kilimo cha tikiti, Mungu ni mwema nilimpata na mwezi wa 9...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari, Baada ya Hali kuwa ngumu hapa Mjini Dsm nimefikiri naweza a nzia shambani kwa kuwa Dsm na Morogoro ni karibu hivyo naomba kufahamisha mambo kadhaa 1. Naomba kujua sehem Nzuri nayoweza Lima...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za mida ndg zangu,ninatokea kanda ya ziwa,mkoa wa Mara.Naomba msaada was mawazo kwa mtu mwenye uzoefu wa kilimo cha dengu,mawazo yako yajikite zaidi katika muda mwafaka wa kupanda zao la...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Nahitaji kufanya kilimo cha umwagiliaji ila naomba kupewa ufafanuzi wa mazao yanayofaa kulima na soko lake halina usumbufu na mkoa upi unagharama nafuu kwa nyanja zote machine ninayo ya kumwagilia...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kilimo kina changamoto nyingi sana. Unaweza kusoma mahali unaambiwa ekari moja unavuna gunia 30 na kuendelea ukaona ni kazi nyepesi hivyo ndugu zako kijijini wakikwambia tuma hela tukulimie huku...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom