MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,706
- 21,857
Heshima mbele,
Kuna eka 4 nilianda shamba Pwani ,nataka kuchanganya mazao karibia manne .
Hamna source ya maji so nataka kucheza na hizi mvua.
Naomba msaada na ushauri niweke mazao gani hasa yale yasiyopita kwenye kitalu