Upandishaji wa nguruwe

Upandishaji wa nguruwe

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Je kupandisha nguruwe waliozaliwa tumbo moja (uzao 1 na wa mama huyo huyo)
Kuna athari zozote kwa vitoto vitakavyozaliwa?

Msaada kwa anayeelewa.

[HASHTAG]#commred[/HASHTAG] Chichimizi
 
Naona browser yako na internet connection haziko stable....! Ndiyo maana umefyatua the same thread mara kibao kwa click create button mara kibao.
 
Kuna hatari kubwa. Vitoto huzaliwa na dosari kibao, kama kudumaa, upofu na vifo vingi utotoni. Interbreeding kwa wanyama wote haishauriwi.
 
Kuna hatari kubwa. Vitoto huzaliwa na dosari kibao, kama kudumaa, upofu na vifo vingi utotoni. Interbreeding kwa wanyama wote haishauriwi.
Sorry mkuu hebu kajikumbushe tena notice zako kuhusu inter-breeding

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Ipo! Inbreeding ni tatizo kubwa sana kwenye nguruwe. Mara nyingi husababisha kuzaliwa kwa watoto (piglets) wenye physical Defects/deformity.....Pia inapunguza fertility (libido etc).
N:B. 1.Impact inaweza isionekane mapema, ni cumulative.
2.Avoid inbreeding.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Sorry mkuu hebu kajikumbushe tena notice zako kuhusu inter-breeding

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
Hahahaha inter-breeding! Hii ipo lakini sio kwa alivyo-imply.
Msamiati. Inbreeding una-fit katika swali lake.

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Back
Top Bottom